Wageni 4 wapewa vitambulisho vya maakazi baada ya kukidhi vigezo vya kuishi Zanzibar

Mamlaka ya uwekezaji Zanzibar (ZIPA) imewakabidhi raiya wa kigeni wanne vibali na kadi za utambulisho wa kuishi Zanzibar na Tanzania kwa ujumla baada ya baadhi ya kanuni za uhamiaji kuruhusu wageni walionunua nyumba Zanzibar zenye thamani ya Dola laki moja kupewa vitambulisho hivyo vya maakazi

Serikali ya Zanzibar ilipendekeza sharti hilo kama kivutio kwa wageni atakaekidhi vigezo vya kununua nyumba Zanzibar kwa Dola Laki moja na kuruhusiwa kukata kibali cha kupata kitambulisho kitakachomtambua kua ni mkaazi wa Zanzibar.

Related Posts