KIHONGOSI AWAONGOZA VIONGOZI,WANANCHI MKOA WA SIMIYU KUMUOMBEA RAIS SAMIA

 

IKIWA ni katika kuelekea mwisho wa mwaka na kuukaribisha mwaka mpya wa 2025 Mkuu wa Mkoa Simiyu Kenani Kihongosi amewaongoza viongozi na wananchi kumwombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan.

Mbali na kumuombea Rais, maelfu hayo ya watu pia yametumia fursa hiyo kuliombea taifa kuvuka salama mwaka 2024 na kuingia 2025 likiwa wamoja, wenye amani na mshikamano.

 

Related Posts