KITITA cha shilingi milioni moja taslimu kushindaniwa kupitia shindano la michezo ya kasino ya Expanse, Hivo wewe mdau wa michezo ya kasino unaweza kua mshindi na kuifanya sikukuu yako ipendeze kwa kushiriki shindano hili.
Meridianbet wamekuja na shindano la michuano ya kasino inayofahamika kama shindano la mabingwa ambapo mshindi ataondoka na kitita cha milioni moja taslimu, Shindano hili la mabingwa limeanza toka tarehe 12 mwezi huu wa 12.
Shindano hili litahusisha wateja wote ambao watakua wamejisajili na Meridianbet ambapo watapata fursa ya kuondoka na kitita hichio kabambe msimu huu wa sikukuu na kukufanya kufunga na kuanza mwaka kibabe kabisa.
Michezo ambayo itahusishwa kwenye shindano hili la mabingwa ni kama ifuatavyo Book of Eksimo, Book of Egypt, Fortune Farm, Sticky 777, Veni Vidi Vici, Forest Rock, Piggy Party, Battle for the Throne, na Bounty Hunters.
Ikumbukwe hakutakua na mshindi mmoja tu wa Milioni taslimu kwakua hili ni shindano basi washindi watachukua kitita kama ifuatavyo
Mshindi nafasi ya 1- Tshs 1,000,000
Mshindi nafasi ya 2- Tshs 500,000
Mshindi nafasi ya 3 na 4- Tshs 250,000 kila mmoja
Mshindi nafasi ya 5- Tshs 100,000
Washindi hawataishia watano tu kwani wengine watakua wakipata mizinguko ya bure kwenye michezo mbalimbali ya kasino ambayo watakua wanacheza ambayo itawapa fursa ya kutengeneza maokoto ya kutosha.
Changamkia fursa sasa kwa kushiriki shindano hili la kibingwa kipindi hiki cha sikukuu uweze kuipendezesha sikukuu yako kwani mpaka sasa zimebaki siku tisa tu kuelekea kilele cha shindano hilo mnamo tarehe 31 mwezi wa 12.
Mbali na kucheza michezo mbalimbali ya kasino lakini pia Meridianbet wanakukumbusha usiisahau kubashiri michezo mbalimbali kwani ligi mbalimbali barani ulaya na dunia nzima zinaendelea karibu kila siku.