SHIKA KITITA CHA MAANA LEO

JUMAPILI ya kuondoka kinara na wakali wa ubashiri Tanzania umefika ambapo Meridianbet inakupa nafasi ya kuibuka bingwa leo. Wababe wengi kuchuana huku wewe ukiondoka na mkwanja mzito.
EPL leo hii kuna mechi mbili tuu ambapo mechi ya mapema ni hii ya Fulham dhidi ya Ipswich ambao wametoka kushinda mechi yao iliyopita. Tofauti ya pointi kati yao 14 huku nafasi ya kushinda leo akipewa 1.57 kwa 5.8. Nani kuondoka na ushindi leo?. Beti sasa.
Na mechi kubwa leo pale Uingereza itakuwa pale Anfield when Liverpool atamkaribisha kwake Manchester United ambao kwenye mechi 5 wameshinda moja pekee. Mara ya mwisho timu hizi zimekutana Mashetani Wekundu walipoteza. Amorim na vijana wake watalipa kisasi?. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 1.40 kwa 7.20. Jisajili hapa.
SERIE A kule Italia pia kuna mechi kali za hela ambapo US Lecce atamenyana dhidi ya Genoa ambao wapo nafasi ya 13. Mara ya mwisho kukutana timu hizi mbili, mgeni aliondoka na pointi 3. Je leo hii mwenyeji anaweza kufurukuta kwa mgeni wake na kuondoka na ushindi?. 2.75 kwa 2.80 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi hapa.
Meridianbet leo hii inakupa nafasi ya kuibuka bingwa odds kubwa na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Pia Torino atamualika kwake Parma Calcio ambao wametoka kushinda mechi yao iliyopita, huku mwenyeji yeye akitoa sare mechi yake iliyopita. Tofauti ya pointi kati yao ni 2 pekee huku mabingwa wa ubashiri Meridianbet wakimpa mwenyeji kwa ODDS 1.80 kwa 4.80. Je unampa nani beti yako?. Tandika jamvi hapa.
Wakati mechi ya baadae ni hii ya AS Roma vs Lazio ambao wamekuwa na mwenendo mzuri sana msimu huu. Mpaka sasa wapo nafasi ya 4 huku Roma yeye akiwa nafasi ya 10. Kila timu inahitaji ushindi leo hii isonge mbele huku nafasi ya kuwa bingwa akipewa mwenyeji kwa ODDS 2.50 kwa 3.00. Jisajili hapa.
Vilevile LIGUE 1 kule Ufaransa nayo kitaumana leo ambapo Angers ataumana dhidi ya Stade Brest ambaye mechi ya mwisho walipokutana mgeni aliondoka na ushindi. Tofauti ya pointi kati yao ni 6 pekee huku Meridianbet wakimpendelea mgeni kuondoka na ushindi leo hii kwa ODDS 2.25 kwa 3.40. Wewe beti yako unampa nani leo?. Beti hapa.
Kwa upande wa RC Lens yeye atakipiga dhidi ya Toulouse ambaye ametoka kushinda mechi yake iliyopita, huku mwenyeji yeye akitoa sare. Mechi ya leo ni muhimu sana kwa mwenyeji kupata ushindi. Je ataweza kufanya nini nyumbani kwake? ODDS za mechi hii ni 2.10 kwa 3.75. Suka jamvi hapa.
Usiku hapo baadae Marseille atakuwa na kibarua cha kusaka pointi 3 dhidi ya Le Havre ambao wapo nafasi ya 2 kutoka mwisho. Mwenyeji yeye yupo nafasi ya 2 huku mtanange wa mwisho kukutana, alishinda. Je na leo ataendeleza ubabe wake?. 1.32 kwa 9.40 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.

Related Posts