RAIS DKT. SAMIA AFUNGUA SKULI YA SEKONDARI MISUFINI, BUMBWINI ZANZIBAR WAKATI WA SHAMRASHAMRA ZA KUELEKEA MIAKA 61 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi wa Skuli ya Sekondari Misufini iliyopo Bumbwini Zanzibar tarehe 08 Januari, 2025. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua vyumba vya Maabara mara baada ya kufungua Skuli ya Sekondari Misufini iliyopo Bumbwini Zanzibar tarehe 08 Januari, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua vyumba vya Kompyuta mara baada ya kufungua Skuli ya Sekondari Misufini iliyopo Bumbwini Zanzibar tarehe 08 Januari, 2025.

Muonekano wa Skuli ya Sekondari Misufini iliyopo Bumbwini Zanzibar pamoja na madarasa mara baada ya kufunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan tarehe 08 Januari, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi mara baada ya kufungua Skuli ya Sekondari Misufini iliyopo Bumbwini Zanzibar tarehe 08 Januari, 2025.

Matukio mbalimbali wakati wa ufunguzi wa Skuli ya Sekondari Misufini iliyopo Bumbwini, Zanzibar tarehe 08 Januari, 2025.

Related Posts