ERIC CHELLE ATANGAZWA KOCHA MPYA TIMU YA TAIFA NIGERIA

NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV

Aliyekuwa kocha wa timu ya taifa ya Mali Eric Chelle amelamba dili kuiongoza timu ya taifa ya Nigeria β€œThe Super Eagles β€œ.

Chelle ambaye ni mzaliwa wa Abidjan nchini Ivory Coast, aliiongoza timu ya taifa ya Mali katika kipindi cha miaka miwili kuanzia 2022 hadi 2024 baad ya kutimuliwa kutokana na mwenendo mbaya wa timu hiyo.

Nyota huyo ambaye pia ameichezea timu ya Taifa ya Mali katika michezo mitano anatarajia kuiongoza The Super Eagles katika michezo ijayo ya kimataifa mwezi Machi mwaka huu.

Related Posts