KUPITIA Meridianbet utapata nafasi ya kunyakua kitita cha shilingi milioni mojataslimu kwa kushiriki shindano la michuano ya Expanse Kasino na kufanya Januari yako kuisha kibabe.
Meridianbet kwa mara nyingine tena wanakuletea shindano la michuano ya kasino inayofahamika kama shindano la mabingwa ambapo mshindi ataondoka na kitita cha milioni moja taslimu, Shindano hili la mabingwa limeanza toka tarehe 10 mwezi huu wa kwanza na kumalizika kwa tarehe.
Ikumbukwe hakutakua na mshindi mmoja tu wa Milioni moja taslimu pekee kwakua hili ni shindano kubwa na linaendeshwa na mabingwa basi washindi watakua wengi na watachukua kitita kama ifuatavyo
Mshindi nafasi ya 1- Tshs 1,000,000
Mshindi nafasi ya 2- Tshs 500,000
Mshindi nafasi ya 3 na 4- Tshs 250,000 kila mmoja
Mshindi nafasi ya 5- Tshs 100,000
Washindi hawataishia watano tu kwani wengine watakua wakipata mizinguko ya bure kwenye michezo mbalimbali ya kasino ambayo watakua wanacheza ambayo itawapa fursa ya kutengeneza maokoto ya kutosha.
Mbali na kucheza michezo mbalimbali ya kasino lakini pia Meridianbet wanakukumbusha usisahau kubashiri michezo mbalimbali kwani ligi mbalimbali barani ulaya na dunia nzima zinaendelea karibu kila siku.