Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
ameshiriki maadhimisho ya kilele cha Miaka 61, ya Mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar yaliyofanyika katika uwanja wa Gombani, wilaya ya Chakechake,
mkoa wa Kusini Pemba, Zanzibar leo tarehe 12 Januari, 2025.
Mgeni Rasmi wa maadhimisho hayo alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi.
Mgeni Rasmi wa maadhimisho hayo alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi.