Sh3 bilioni kuchoronga visima vya nishati joto ardhi ziwa Ngosi


Serikali imenunua vifaa vya kisasa vyenye thamani ya Sh3 bilioni kwa ajili ya kuanza uchorongaji wa visima vya kuzalisha umeme wa nishati jadidifu ya jotoardhi katika eneo la Ziwa Ngosi, wilayani Rungwe, Mkoa wa Mbeya.

Related Posts