Yanga, mtego wa waarabu upo hapa!


YANGA inatarajiwa kushuka uwanjani kesho Jumamosi katika mchezo ulioshikilia hatma ya kwenda robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa mara ya pili mfululizo na ikichemsha kwa kutoka sare ya kufungwa maana yake itaondolewa michuano ya CAF na kusalia mechi za Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho (FA).

Related Posts