RAIS SAMIA NA VIONGOZI WENGINE WA CCM WAKIPIGA KURA KUMCHAGUA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga kura kumchagua Makamu Mwenyekiti Mteule wa CCM Tanzania Bara Ndugu Stephen Wasira wakati wa Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 18 Januari, 2025.

Related Posts