Baadhi ya wakazi wa Msomela wilayani Handeni mkoani Tanga wakipata elimu ya matumizi ya mitungi ya Taifa Gas kutoka kwa Wataalamu wa Kampuni ya Taifa Gas wakati mafunzo ya nadharia ya siku tatu yaliyoanza leo na yanatarajiwa kumalizika Juamatano.Jumla ya mitungi 1000 ya Taifa Gas inatarajiwa kugawiwa bure kwa wakazi hao katika hafla kubwa itakayofanyika Ijumaa ya Mei 17,2024.