Chadema Yapitisha 23 Kuwania Ujumbe wa Kamati Kuu – Global Publishers



CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Jumapili Januari 19, 2025 kimewapitisha makada wake 23 kuwania ujumbe wa Kamati Kuu.

Hatua ya kupitishwa kwa wagombea hao, imekuja baada yakusailiwa katika ofisi za makao makuu ya chama hicho, Dar es Salaam.

Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Itifaki na Mambo ya Nje wa Chadema, John Mrema imeweka wazi wagombea hao wamepitishwa na kamati kuu iliyoketi leo.











Related Posts