Rais Dkt. Samia awaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Jaji Latifa Alhinai Mansoor kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 22 Januari, 2025. 


Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe
. Jaji George Mcheche Masaju kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani kwenye
hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 22 Januari, 2025. 



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Jaji Dkt. Deo John Nangela
kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino
Mkoani Dodoma tarehe 22 Januari, 2025.

 




 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Jaji Dkt.
Ubena
John Agatho kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani kwenye hafla iliyofanyika Ikulu
Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 22 Januari, 2025.



Majaji wa Mahakama
ya Rufani wakila Kiapo cha Maadili
kwenye hafla
iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 22 Januari, 2025. 

Viongozi mbalimbali wakila
Kiapo cha Maadili
kwenye hafla iliyofanyika Ikulu
Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 22 Januari, 2025. 


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali mara baada ya
kuwaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani
kwenye
hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 22 Januari, 2025. 


Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya
kuwaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani, Ikulu, Chamwino Mkoani Dodoma
tarehe 22 Januari, 2025. 




Related Posts