Jumamosi ya kuibuka mbabe imewadia huku wakali wa ubashiri Meridianbet wakikupatia odds kubwa na machaguo zaidi ya 1000. Ingia kwenye akaunti yako na usuke jamvi lako la ushindi hapa.
Utamu upo ligi kuu ya Ufaransa LIGUE 1 leo ambapo OGC Nice baada ya kutoa sare mechi yao iliyopita, leo hii watamenyana dhidi ya RC Lens ambao walishinda mechi yao iliyopita. Kila timu inahitaji pointi 3 za ushindi hii leo huku ODDS za mechi hii zikiwa ni 2.39 kwa 3.00. Tengeneza jamvi hapa.
Huku Lille OSC atakuwa wenyeji wa Le Havre ambao ndio vibonde wa ligi kwenye msimamo mpaka sasa wakiwa na pointi zao 4 baada ya kucheza mechi 20. Mwenyeji yupo nafasi ya 4 na akishinda leo atasogea hadi nafasi ya 3. Je beti yako unampa nani leo?. 1.33 kwa 9.20 ndio ODDS za mechi hii.
Na mechi ya usiku kabisa ni hii ya AS Saint-Etienne dhidi ya Stade Brest ambao mechi iliyopita walishinda. Timu hizi zote zipo kwenye hali mbaya kwenye msimamo wa ligi ambapo mwenyeji yupo nafasi ya 16 na mgeni wake nafasi ya 15. Tofauti ya pointi kati yao ni 2 tuu. Bashiri mechi hii yenye ODDS 3.35 kwa 2.22.
Jumamosi ya leo ni ya kitajiri na Meridianbet ambapo nafasi ya kupiga pesa ni kubwa sana leo. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Wakati kule BUNDESLIGA Ujerumani ndipo kwenye pesa sasa, VFL Wolfsburg atamenyana dhidi ya Bayer Leverkusen ambapo leo hii mwenyeji anataka kulipa kisasi baada ya kupigika mechi iliyopita. Mwenyeji ametoka kutoa sare mechi yake iliyopita, huku mgeni yeye akishinda. Mechi hii imepewa ODDS 4.20 kwa 1.82. Bashiri hapa.
Borussia Dortmund vs VFB Stuttgart mechi kali sana ambapo wageni wametoka kupoteza wakiwa nyumbani kwao. BVB wao walipata ushindi huku leo hii pale Meridianbet mgeni hapewi nafasi ya ushindi akipewa ODDS 3.65 kwa 1.93. Je nani unamdhamini akupatia maokoto leo?. Bashiri hapa.
Saa 2:30 usiku kutakuwa na mtanange mzito kati ya Borussia Monchengladbach vs Eintracht Frankfurt ambapo mara ya mwisho kukutana kwenye ligi, Borussia alipoteza hivyo leo hii akiwa nyumbani anasaka ushindi kwa hali na mali. Bashiri mechi hii yenye ODDS 2.65 kwa 2.55. Jisajili hapa.
Hispania leo hii LALIGA ni kwa moto sana ambapo mechi ya mapema kabisa ni hii inayowakutanisha kati ya Celta Vigo vs Real Betis ambapo mara ya mwisho kukutana timu hizi mbili, hakuna ambaye alikuwa mbabe kati ao. Hivyo leo hii pointi 3 ni muhimu kwa kila timu. ODDS za mechi hii ni 2.23 kwa 3.35. Bashiri hapa.
Huku kwa upande wa Girona baada ya kushinda mechi yake iliyopita leo hii atakuwa ugenini kusaka ushindi dhidi ya Athletic Bilbao ambao walitoa sare mechi yao iliyopita. Tofauti ya pointi kati yao ni 10, huku Meridianbet wakimpa nafasi kubwa ya kushinda Bilbao kwa ODDS 1.70 kwa 5.20. Jisajili hapa.
Wakati mechi kali leo hii Hispania ni Madrid derby kati ya Real Madrid vs Atletico Madrid ambapo ni mechi kati ya mtu wa kwanza na wa pili huku ikiwa ni pointi 1 tuuh ambayo ndiyo inayowatofautisha. Vijana wa Simeone wanataka pointi 3 halikadhalika kwa Ancelloti. Je beti yako unaiweka wapi?. Real ndiyo anayepewa nafasi ya kushinda kwa ODDS 1.87 kwa 4.10. Suka jamvi hapa.
Vilevile ligi kuu ya Italia SERIE A leo kitawaka sana ambapo Atalanta atasafiri kumenyana dhidi ya Hellas Verona ambao wapo nafasi ya 13 wakiwa na pointi zao 23 pekee. Gasperin na vijana wake wanhitaji ushindi leo hii kujiweka sawa kwenye mbio za ubingwa. Je watatokaje pale Bentegodi?. Bashiri mechi hii yenye ODDS 5.80 kwa 1.55.
Pia Empoli atakuwa mwenyeji wa AC Milan ambao wanashikilia nafasi ya 8 kwenye msimamo wa ligi huku kwenyeji yeye akiwa nafasi ya 16. Tofauti kati yao ni pointi 14 huku Meridianbet wao wakimpa nafasi kubwa ya ushindi Milan kwa ODDS 1.68 kwa 5.40. Tandika jamvi hapa.
Torino atakuwa uso kwa uso dhidi ya Genoa ambapo timu hizi zinafuatana kwenye msimamo wa ligi. Mwenyeji yupo nafasi ya 11 na mgeni wake nafasi ya 12, hivyo basi hata ODDS zao hazijapishana sana. 2.25 kwa 3.80, beti yako unampa nani leo?. Jisajili hapa.