Michezo HADITHI: Kwa Mtutu wa Bunduki – 3 February 9, 2025 Admin Temba akawa anaitazama picha ya mtu mwenye uso wa miraba minne, macho makubwa na pua iliyofura. Alikuwa na alama ya kushonwa ngozi kwenye paji la uso wake.Christian Bambo.” Temba alitamka baada ya kusoma jina lake lililoandikwa chini ya picha yake. Related Posts Michezo Yanga kumekucha CAS, Bodi ya Ligi yakomaa March 18, 2025 Admin Michezo Sowah, Yanga kumekucha, mambo yapo hivi March 18, 2025 Admin