Tukaenda na Mustafa hospitali ya Muhimbili. Musa alikuwa amelala kichalichali. Alionyesha alikuwa taabani. Mguu mmoja ulikuwa umening’inizwa. Mguu mwingine ulikuwa umefungwa bendeji ngumu.