Alipoingia katikati ya kundi hilo akaliona gari la Idara ya upelelezi alilokuwa akiendesha Temba, tairi zake za mbele zimeingia katika mfereji. Msembeko alichungulia ndani ya gari hilo na alimuona Inspekta Temba amelalia sukani ya gari.