Kama kawaida baada ya wikendi kushuhudia timu mbalimbali za ligi zikichuana vikali, leo hii ni zamu ya ligi ya mabingwa michezo ya Play-off. Nani unaona atakupatia kibunda pale Meridianbet?. Ingia na ubashiri hapa.
Kimbunga kitakuwa kwenye mechi kati ya Sporting Lisbon ya Ureno dhidi ya Borussia Dortmund ya kule Ujerumani. Mwenyeji kwenye ligi yao anashika nafasi ya 1 akiwa na pointi zao 51, huku kwa upande wa Borussia wao wapo nafasi ya 11 akiwa na pointi zake 29 pekee, huku ,mechi iliyopita akipigika nyumbani. Mechi hii imepewa ODDS 2.35 kwa 3.05. Suka jamvi hapa.
Huku pale katika dimba la Allianz Juventus atamkaribisha kwake PSV kutoka Uholanzi ambapo mechi ya mwisho waliyokutana, vijana wa Thiago Motta waliondoka na ushindi. Wakali wa ubashiri wanampa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji kwa ODDS 1.95 kwa 4.10. Wewe unamdhamini nani akupe pesa leo?. Jisajili hapa.
UEFA imerejea kwa kishindo leo, suka jamvi lako na Meridianbet. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Kwa upande wa PSG wao wataumana dhidi ya Stade Brest huku timu zote zinakipiga kule Ufaransa LIGUE 1. Nafasi ya kushinda ndani ya Meridianbet wamepewa vijana wa Luis Enrique kwa ODDS 1.35 kwa 8.80. Mara ya mwisho timu hizi kukutana, Paris aliondoka na ushindi mechi zote. Je leo hii mwenyeji atalipa kisasi nyumbani?. Bashiri hapa.
Mechi kali sana ligi ya mabingwa ni hii inayowakutanisha kati ya Manchester City vs Real Madrid mabingwa mara 15 wa kombe hili. City yeye wamechukua kombe hili mara moja pekee. Hii ni mechi inayosubiriwa na watu wengi Duniani leo. Mechi za mwisho kukutana walitoshana nguvu na Real alishinda kwa mikwaju ya penalti. Je leo hii pale Etihad nani kuondoka pointi 3?. ODDS za mechi hii ni 2.00 kwa 3.65. Jisajili hapa.