Leo hii kampuni ya ubashiri Tanzania Meridianbet wamekuletea fursa kubwa kwa wateja wake ambao hupenda kubashiri mechi mbalimbali ambapo kwasasa kiasi cha malipo cha juu zaidi kwa tiketi moja kimefika milioni 300 za Kitanzania.
Mfano leo hii kuna mechi za Europa League ambapo hapa una nafasi ya kushinda hiyo milioni 300 kwa kuchagua timu zako za ushindi leo hii. FC Porto, Fenerbahce, Real Sociedad na wengine kibao wapo dimbani kuhakikisha kutoki patupu.
Wateja wanahimizwa na wale ambao bado hawajajiunga na kampuni hiyo kuchukua hatua mapema na kununua tiketi ili kuongeza nafasi zao za kushinda. Kumbuka kuwa hii ni nafasi pekee ya wewe mteja kubadilisha maisha yako kwa kuweza kushinda kiasi kikubwa cha pesa katika mchezo wa kubashiri.
NB: Lakini kumbuka kuwa kwenye hiyo tiketi yako hujumuishi mechi za Ligi ya Tanzania. Lakini mechi za ligi nyingine unaweza ukazijumuisha pale ambapo unabashiri.
Mfano leo hii,, mapema kabisa Fenerbahce Instanbul watakuwa wenyeji wa RSC Anderletch ambapo nafasi ya kushinda hii leo akipewa Mturuki pale Meridianbet kwa ODDS 1.61 kwa 5.40. Mara ya mwisho kukutana ilikuwa 2018 ambapo mwenyeji aliondoka na ushindi. Na sasa ni kwenye mechi za mtoano. Je mgeni atalipa kisasi leo?. Jisajili hapa.
Union Saint-Gilloise watakipiga dhidi ya Ajax ya kule Uholanzi ambao wapo nafasi ya 1 kwenye ligi yao huku kwa mwenyeji yeye yupo nafasi ya 3 kwenye ligi kule Ubelgiji. Nani kuondoka kifua mbele leo hii kwenye mchezo wa kwanza wa mtoano?. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 2.35 kwa 3.10. Tandika jamvi hapa.
EUROPA LEAGUE kukupatia mkwanja leo. Suka jamvi lako na Meridianbet. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.