Picha:Waziri Nape alivyowasili Bungeni kuwasilisha Bajeti Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara kwa Mwaka 2024/25.

Ni mei 16, 2024 ambapo Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Moses Nnauye alivyowasili bungeni jijini Dodoma kwaajili ya kuwasilisha Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara kwa Mwaka 2024/25.

 

The post Picha:Waziri Nape alivyowasili Bungeni kuwasilisha Bajeti Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara kwa Mwaka 2024/25. first appeared on Millard Ayo.

Related Posts