Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauyeakipongezwa baada ya kuawsilishakiufasaha tena kwa muda mfupi makadirio ya Bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka 2023/2024 bungeni Dodoma leo Mei 19, 2023, kiasi cha kusifiwa na Naibu Spika, Mhe. Mussa Azan Zungu.