RAIS SAMIA ATEMBELEA MABANDA KWENYE MKUTANO WA TATU WA NCHI ZINAZOZALISHA KAHAWA AFRIKA

 

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembelea Mabanda mbalimbali wakati wa Mkutano wa Tatu wa Nchi zinazozalisha Kahawa Barani Afrika (3rd G25 African Coffee Summit) Ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere (JNICC) Dar es salaam leo February 22, 2025.




Related Posts