Habari RAIS SAMIA AWASALIMU WASHIRIKI WA MASHINDANO YA QURAN February 23, 2025 Admin Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu washiriki wa mashindano ya kimataifa ya kusoma na kuhifadhi Quran yaliyofanyika leo kwenye uwanja wa Taifa wa Benjamin Mkapa muda mfupi kabla ya kuanza ziara yake ya kikazi mkoani Tanga, tarehe 23 Februari, 2025. Related Posts Habari WAZIRI KIKWETE KUFANYA ZIARA YA SIKU TATU MKOANI SONGWE February 23, 2025 Admin Habari RAIS DKT SAMIA ATOA MAELEKEZO KWA WAZIRI MCHENGERWA February 23, 2025 Admin