RAIS MWINYI AJUMUIKA NA WANAVYUONI NA WANANCHI KATIKA KISIMO CHA HITMA NA DUA YA KUMUOMBEA RAIS MSTAAFU MAREHEMU ALI HASSAN MWINYI

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi mbalimbali katika kuitikia dua ya kumuombea Marehemu Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ikisomwa na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Hassan Othman Ngwali (kushoto kwa Rais) wakiwa katika kaburi la marehemu, baada ya kumalizika kwa kisomo cha hitma na dua, iliyofanyika leo 23-2-2025 katika viwanja vya Zawiyani Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Unguja.(Picha na Ikulu).

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi mbalimbali katika kuitikia dua ya kumuombea Marehemu Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ikisomwa na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Mahmoud Mussa Wadi, wakiwa katika kaburi la marehemu, baada ya kumalizika kwa kisomo cha hitma na dua, iliyofanyika leo 23-2-2025 katika viwanja vya Zawiyani Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Unguja.(Picha na Ikulu)

Related Posts