Haya hapa majina walioteuliwa kugombea nafasi mbalimbali CHADEMA

CHAGUZI wa kanda za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) zimeendelea kupamba moto baada ya Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje, John Mrema kutangaza majina ya wagombea walioteuliwa kuwania nafasi mbalimbali.

Katika uchaguzi wa safari hii Chadema imeendesha usaili maalum kwa wagombea katika kanda nne zinazotarajiwa kufanya uchaguzi hivi karibuni.

Hayo yanajiri ikiwa ni tayari wagombea wote katika nafasi hizo pamoja na wanaogombea kwenye mabaraza yake kutoka kwenye kanda hizo kuitwa makao makuu ya chama hicho kwa ajili ya usaili na Kamati Kuu ya chama iliyoanza vikao vyake tarehe 11 Mei mwaka huu.

Waligombea hao waliopitishwa ni kama ifuatavyo.  uenyekiti Kanda ya Serengeti ni Gimbi Dotto Massaba

na Lucas Ngoto Ngoto. Umakamu Mwenyekiti ni Jackson Scania Luyombya, Uweka hazina ni Jackson Daudi Tungu, Khalid Suleiman Ausii, Maendeleo Bernard Makoye na William Pius Shayo.

Baraza la Wazee walioteuliwa kwenye nafasi ya Uenyekiti kwenye kanda hiyo ni Jacob Rhobi Monyeka na Syllvester Mhoja Kasulumbayi. Ukatibu ni Charles Bullet Rwegalulila na Kennedy Musa Onyango na Uweka hazina ni Magdalena Emmanuel Mkulla.

Baraza la wanawake uenyekiti ni Baega Steven Masunga na Rosemary Kasimbi Kirigini. Ukatibu ni Angela Derrick Lima. Baraza la vijana Uenyekiti ni Baraka Steven Charles, Michael Emmanuel Kihanda na Yohana Zakaria Maghembe. Ukatibu ni Paschal Joseph Mlapa.

Kanda ya Nyasa wanaowania uenyekiti ni Joseph Osmond Mbilinyi na Peter Simon Msigwa. Makamu mwenyekiti  ni Frank George Mwakajoka, Joseph Mwasote Mjenda na Mbegese Anosisye Mwalupani.

John Pambalu

Uweka hazina ni Gertruda Japhet Rengesela, Grace Richard Shio na Rehema Paul Makoga. Baraza la wazee uenyekiti ni Charles Dawson Ndenga na Hugho Samali Kimaryo. Umakamu mwenyekiti ni Gerald Simalike Kajuni na Henry Amos Mhabuka.

Ukatibu wagombea ni Mponjoli Stanely Mwaikimba na Saadat Daudi Mwambungu. Uweka hazina ni Lydia Donald Mwaipaja.

Kwa upande wa Baraza la wanawake kwenye kanda hiyo, wanaowania uenyekiti ni Happiness Daudi Kwilabya, Suzana Chogisasi Mgonokulima na Tabia Lugano Mwakikuti. Ukatibu ni Margreth William Mlekwa wakati uweka hazina ni Witness Mbililili Mwani.

Baraza la vijana wanaowania uenyekiti ni Ibrahim Tumaini Nyasanga, Victor Maneno Baleke na Vitus Rutinwa Nkuna. Ukatibu ni Magnus Fidel Simbeye na uweka hazina ni Baraka Abrahamu Mwakihaba na Jeremiah Mahasile Mnyambwa

Kanda ya magharibi wanaowania uenyekiti ni Dickson Lucas Matata, Gaston Shundo Garubindi, Mussa Daniel Martine na Gassa Ganja Mboje. Umakamu mwenyekiti ni Masanja Mussa Katambi na Rhoda Edward Kunchela.

Uweka hazina wagombea ni Idan Laurent Ndowa, Josephat Clement Shilogile na Laurent Mangweshi Senga. Baraza la wazee wanaowania uenyekiti ni Adamu Kisinza Maige na Francis William Msuka.

Umakamu mwenyekiti ni Donatus Lupole Kiphungu ilihali ukatibu ni Shaban Rafael Madede na Venance Gomegwa Mwemela.

Baraza la wanawake wanaowania uenyekiti ni Ashura Mashaka Masoud, Mary James Martin na Monica Taramael Nsaro. Makamu mwenyekiti  ni Rehema Rafael Mwacha. Baraza la vijana uenyekiti ni Jackson Frank Maulinge na Mohamed Salum Pume. Ukatibu ni Idrissa Kassim Rubibi na Uweka hazina ni Epiphania Alex Lutebuka.

Kanda ya Victoria walioteuliwa kuwania uenyekiti ni Ezekia Dibogo Wenje na John Justine Pambalu. Makamu mwenyekiti ni Bazil Justinian Waziri, Khalid Swalehe Hussein, Mbutusyo Alinanine Mwakihaba na Syllvester Magelesa Makanyaga.

Uweka hazina wagombea ni Elikana Paschal Kahi, Leonard Josephat Magere na Sijaona James Karoli. Baraza la wazee uenyekiti ni Fabian Francis Mahengena Focus Ebigambobyensi Laurent. Umakamu mwenyekiti ni Alphaxard Nyarubwa Ndigile na Shigemelo James Makelemo.

Ukatibu wanaowania ni Godfrey Faustine Missana na Loishiye Lazaro Teveli. Uweka hazina ni Philip Mugabu Kuguru na Specioza Stephano Kamala. Baraza la wanawake uenyekiti ni Pasquina Ferdinand Lucas na Lendo Luis Ngonyani.

Umakamu mwenyekiti ni Jacquiliny Revocatus Kissanga, Ukatibu ni Dorice Nicholaus Mpatil na Esther Musa Fulano. Baraza la vijana uenyekiti Fredy Michael Masele na Shaban Avice Mabala. Ukatibu ni Aloni Ishengoma Kilomba.

Related Posts