ETDCO yashiriki Maadhimisho ya Siku ya wanawake duniani

 

 

Wafanyakazi wa Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme ( ETDCO) wameshiriki sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani zilizofanyika Kitaifa jijini Arusha.

Related Posts