JKU inautaka ubingwa, yampiga mtu wiki ZPL


SAA 24 tu, tangu maafande wa KVZ walipoifumua Maendeleo 7-3 katika mechi ya Ligi Kuu ya Zanzibar (ZPL), vinara wa ligi hiyo, JKU imejibu mpigo jioni ya leo Ijumaa kwa kuinyoosha Jamhuri ya Pemba kwa mabao 7-0 ikionyesha kiu ya kubeba ubingwa kwa msimu huu.

Related Posts