Mwandishi wa habari na mtangazaji Joel Thomas wa Global TV, amepata nafasi ya kumuuliza maswali Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ambapo amemtwanga maswali mawili mazito, moja likiwa ni kuhusu hatma ya mechi kati ya Simba na Al Masr ambayo ilitangazwa kwamba haitachezwa kwa Mkapa kwa sababu uwanja huo umefungiwa.
