Chadema walivyotinga kwa Msajili kujadili ‘No reform, No election’

Dar es Salaam. Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wakiongozwa na Katibu Mkuu, John Mnyika wakiwasili katika ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa leo Jumanne Machi 18, 2025 kuitikia wito wake.

Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wakiongozwa na Katibu Mkuu, John Mnyika wakiwasili katika ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa leo Jumanne Machi 18, 2025 JIJINI Dar es Salaam. Picha na Michael Matemanga

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na chama hicho jana Machi 17, 2025 ilieleza kuwa ajenda kuu waliyoitiwa ni kaulimbiu yao ya ‘No Reform, No Election.’

Chadema ilitangaza kampeni ya No Reform, No Election (Bila Mabadiliko, Hakuna Uchaguzi) ikilenga kushinikiza mabadiliko ya kisheria kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu.

Endelea kufuatilia Mwananchi.

Related Posts

en English sw Swahili