Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji Rufaa Jacobs Mwambegele akimkabidhi kadi mpya ya Mpiga Kura Ndg. Abubakari Majuto mkazi wa Mzambarauni Kata ya Gongola Mboto Dar es Salaam ambaye ni mlemavu wa viungo alijitokeza kujiandikisha katika kituo cha Shule ya Msingi Mzambarauni leo Machi 18, 2025.
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji Rufaa Jacobs Mwambegele akimkabidhi kadi mpya ya Mpiga Kura Ndg. Abubakari Majuto mkazi wa Mzambarauni Kata ya Gongola Mboto Dar es Salaam ambaye ni mlemavu wa viungo alijitokeza kujiandikisha katika kituo cha Shule ya Msingi Mzambarauni leo Machi 18, 2025.Wananchi wakiwa katika moja ya vituo Jijini Dar es Salaam kujiandikisha na kuboresha taarifa zao katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji Rufaa Jacobs Mwambegele leo Machi 18, 2025 ametembelea baadhi ya vituo vya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Mkoani Dar es Salaam na kushuhudia mwenendo wa zoezi hilo katiuka siku ya pili.
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji Rufaa Jacobs Mwambegele leo Machi 18, 2025 ametembelea baadhi ya vituo vya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Mkoani Dar es Salaam na kushuhudia mwenendo wa zoezi hilo katika siku ya pili. Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama Kuu, Asina Omari, leo Machi 18, 2025, ametembelea na kukagua vituo vya kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Mpiga Kura, katika Jimbo la Temeke, lililopo Manispaa ya Temeke mkoani Dar es Salaam.
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama Kuu, Asina Omari, leo Machi 18, 2025, ametembelea na kukagua vituo vya kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Mpiga Kura, katika Jimbo la Temeke, lililopo Manispaa ya Temeke mkoani Dar es Salaam.
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Magdalena Rwebangira leo tarehe 18 Machi, 2025 ametembela vituo mbalimbali vya kuandikisha Wapiga kura Jimbo la Ilala Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kuona zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura linavyoendelea.
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Magdalena Rwebangira leo tarehe 18 Machi, 2025 ametembela vituo mbalimbali vya kuandikisha Wapiga kura Jimbo la Ilala Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kuona zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura linavyoendelea.
Wananchi wa Kata ya Kivule jijini Dar es Salaam wakiwa wamejitokeza kwa wingi kujiandikisha na kuboiresha taarifa zao katika kituo cha Ukooni Kivule.
Na. Mwandishi Wetu
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imesema itaongeza mashine za BVR na watendaji katika vituo ambavyo vimebainika kuwa na watu wengi ili kufanikisha uandikishaji na uborteshaji wa taarifa katika Daftari la Kudumu lka Wapiga Kura mkoani Dar es Salaam.