Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Mafunzo na Utafiti, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan,
ndugu Tatemoto Ryota (hayupo pichani) alipomtembelea Wakili Mkuu wa Serikali Ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan ndugu Tatemoto Ryota akielezea namna ofisi yake inavyofanya kazi alipomtembelea Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) Ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Prof. Takahashi Kazuaki wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan akiwasilisha taarifa kuhusu taasisi hiyo wakati wa kikao na Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) kilichofanyika Ofisi kwake jijini Dar es Salaam.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama kulia) akimkabidhi Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo wa Japan, ndugu Tatemoto Ryota zawadi ya picha ya pembe za tembo iliyonakishiwa kwa Ramani ya Tanzania baada ya kikao kilichofanyika Ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama kulia) akimkabidhi Afisa Ubalozi wa Japan nchini Tanzania, Bi. Shibata Yoshino zawadi ya picha ya wanyama watano wanaopatikana Tanzania baada ya kikao kilichofanyika Ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama kulia) akimkabidhi zawadi ya picha ya Twiga Wakili wa Serikali wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan, Prof. Takahashi Kazuaki mara baada ya kikao kilichofanyika Ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan, ndugu Tatemoto Ryota (wa pili kushoto) baada ya kikao kilichofanyika Ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan, ndugu Tatemoto Ryota (wa tatu kushoto) na maafisa waandamizi wa Ofisi na taasisi hiyo baada ya kikao kilichofanyika Ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akipitia nyaraka kuhusu Taasisi ya Utafiti na Mafunzo aliyopewa na Afisa Ubalozi wa Japan nchini Tanzania, Bi.Shibata Yoshino baada ya kikao kilichofanyika Ofisi kwake jijini Dar es Salaam.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akimkabidhi zawadi ya picha ya Twiga Jaji kutoka nchini Japan, Mhe. Prof. Higuchi Rui baada ya kikao kilichofanyika Ofisini kwake
jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan, ndugi Tatemoto Ryota na ujumbe wake wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi wakati wa kikao kilichofanyika Ofisi kwake jijini Dar es Salaam.