/Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Dr.Suzan Homeida kutoka Nchini Rwanda, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 23-5-2024 na (kulia kwa Rais) CEO wa PDB Prof.Mohamed Hafidh na (kushoto kwa Rais) Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Hassan Khamis Hafidh .(Picha na Ikulu).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Dr. Suzan Homeida kutoka Nchini Rwanda na Uongozi wa Wizara ya Afya Zanzibar, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 23-5-2024.(Picha na Ikulu)