RAIS DKT. MWINYI AMUAPISHA KAPTENI HUSSEIN MOHAMED SEIF KUWA NAIBU WA MKUU WA KMKM


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.,Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Kapteni Hussein Mohamed Seif kuwa Naibu Mkuu wa Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo Zanzibar (KMKM) hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 23-5-2024 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.,Hussein Ali Mwinyi akisaini hati ya kiapo ya Kapteni Hussein Mohamed Seif, baada ya kumuapisha kuwa Naibu Mkuu wa Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo Zanzibar (KMKM) hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 23-5-2024 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu).

Related Posts