Beatrice akamatwa kwa kumuua mume wake

Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro linamshikilia mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Beatrice Kwayu kwa tuhuma za kumuua Evagro Msele ambaye ni mume wake kwa kutumia kitu chenye ncha kali mgongoni wakati alipokuwa akitoka nyumbani kwa mke Mdogo katika kata ya Kiruo Vunjo Mashariki

Philip Msele ndugu wa marehemu amesema baada ya mke Mkubwa kubaini kuwa alikuwa na mke mdogo alimvizia nakumchoma nyumbani kwa mke huyo mdogo na sio kwamba alifumania kama ilivyodaiwa.

Related Posts