Wizara ya maji yaipa tano wizara ya fedha utekelezaji miradi ya maji.

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Hamidu Aweso (Mb), ameteta na Waziri wa Fedha Mhe Mwigulu Nchemba kuhusu maendeleo ya Sekta ya maji nchini, Sekta ambayo ni muhimu kwa maendeleo na ustawi wa wananchi, ambapo Mhe. Aweso amempongeza Waziri wa Fedha kwa kuipa umuhimu sekta hiyo chini ya Uongozi Mahiri wa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Related Posts