NCHIMBI ALIVYOINGIA KILIMANJARO KWA KISHINDO

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na Wananchi wa Mji wa Bomang’ombe, Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, leo Juni 4, 2024, katika Uwanja wa Bomang’ombe, ikiwa ni siku ya kwanza ya ziara yake ya kikazi mkoani humo, ambapo mbali ya umati mkubwa wa wananchi, Balozi Nchimbi na msafara wake, alikaribishwa na Viongozi wa Kimila wa Mkoa wa Kilimanjaro.








Related Posts