Picha: Rais Samia ashiriki Mkutano wa jukwaa la Miundombinu baina ya Korea na Afrika

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo June 5, 2024 ameungana na Vingozi pamoja na Wageni mbalimbali kushiriki Mkutano wa Jukwaa la Miundombinu baina ya Korea na Afrika ambao umefanyika Westin Josun Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea.

Related Posts