WATU 14 wamefariki 14 wamefariki dunia katika ajali ya barabarani iliyotokea jijini Mbeya baada lori moja lililokuwa limebeba kokoto kuparamia basi dogo aina ya Coaster lenye linalofanya kazi Mbeya-Tunduma, Hiace, bajaji pamoja na bodaboda. Anaripoti Mwandishi Wetu… (endelea).
Akizungumzia ajali hiyo iliyotokea katika mteremko wa Mlima Mbembela jijini hum oleo Jumatano, Mkuu wa mkoa huo, Juma Homera amesema kati ya vifo hivyo 14, nane ni wanaume akiwemo mtoto wa umri wa miaka 3-4 pamoja na wanawake sita.
Aidha, amesema majeruhi wa ajali hiyo ni 17. mlima bembera jijini Mbeya.