BETIKA NA MTOKO WA KIBINGWA 2024 YAFANA WASHINDI WAANDIKA HISTORIA

MABINGWA wa Promosheni Kubwa ya Mtoko wa Kibingwa msimu wa 07 waandika historia wakongwa nyoyo kwa burudani ya aina yake zakiem na Kushuhudia derby ya kariakoo Jukwaa la VIP dimba la Mkapa .
Aidha shamramshara hizo za Mtoko wa Kibingwa zilipambwa na burudani ya aina yake kuanzia mabingwa hao kusafiri na Mwewe (Ndege) na Kupokelewa na Kampuni hiyo ya Betika akianziwa na Meneja Mahusiano Juvenalius Rugambwa pamoja na balozi wa Kampeni ya Mtoko wa Kibingwa Mtangazaji wa derby ya Kariakoo kutoka Azam tv Baraka Mpenja.
Aidha baada ya hapo Mabingwa hao walipelekwa kwenye hoteli ya hadhi ya Nyota tano kupata chakula cha Mchana na baadae kuelekea Mbagala zakiem kushuhudia wasanii kibao wakitoa burudani za Kimuziki hasa mziki wa Singeli .
Miongoni mwa wasanii hao ni pamoja Sholo Mwamba,Pk Mr Konki, Mczo,Chino Wanaman,Mzee wa Bwax ,platform pamoja na dj Ommy crazy walihakikisha Mabingwa wanapata burudani ya kuikaribisha derby hiyo.
Pia Meneja Masoko alitoa zawadi mbalimbali ikiwemo Jezi za Betika,reflekta, simu za Mkononi aina ya android na Iphone kwa Mabingwa walioibuka washindi wa wiki na mwezi katika droo iliyopatika kwenye kampeni hiyo ya Mtoko wa Kibingwa.
Siku iliyofatia Mabingwa hao wote kila mmoja alikuwa na shahuku ya kutaka kufika Uwanja wa Mkapa kushudia derby hiyo ambapo Kampuni ya Betika ilisimamia safari hiyo ya kutoka katika hoteli waliyofikia na Ving’ora hadi Uwanjani na Kukaa katika Jukwaa la VIP
Jinsi ya kubeti bonyeza www.betika.co.tz au piga *149*16# Ushinde Promosheni kibao.


Related Posts