NHIF TANGA YAIBUKA MSHINDI WA UTOAJI HUDUMA BORA ZA AFYA KATIKA MAONYESHO YA 10 YA BIASHARA NA UTALII JIJINI TANGA


Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Mkoani Tanga Evans Nyangasa (kulia) akikabidhiwa Cheti cha Ushindi wa utoaji huduma za bima ya afya na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Balozi ,Dkt Batilda Burian (kushoto) kwenye maonyesho ya 10 ya Biashara na Utalii yaliyofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Sekondari Usagara Jijini Tanga na yaliyomalizika mwishoni mwa wiki iliyopita
Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Mkoani Tanga (kulia) Evans Nyangasa akikabidhiwa Cheti cha Ushindi wa utoaji huduma za bima ya afya na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Balozi ,Dkt Batilda Burian (kushoto) kwenye maonyesho ya 10 ya Biashara na Utalii yaliyofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Sekondari Usagara Jijini Tanga na yaliyomalizika mwishoni mwa wiki iliyopita

Related Posts