JUMAMOSI YA LEO NI YA PESA NA EURO


BAADA ya jana kushuhudia mechi kali ya ufunguzi wa michuano ya EURO, Leo kama kawaida mechi hizo zinaendelea ambapo viwanja vitatu kuwaka moto. Piga mzigo wa maana na mechi hizi ndani ya Meridianbet sasa.

Mechi ya mapema kabisa leo itakuwa ni kati ya Hungary dhidi ya Switzerland majira ya saa kumi jioni ambapo Meridianbet wamempa nafasi kubwa ya kushinda Uswizi akiwa na ODDS 2.16 kwa 3.52 katika kundi A. Mechi 3 za mwisho kukutana Uswizi wameshinda zote.

Hungary ambao wapo chini ya kocha mkuu Marco Rossi wanataka kulipa kisasi hii leo kwenye EURO ambapo naye Murati Yakin wa Switzerland anataka kudumisha ubabe wao mbele ya mnyonge wao. Huku kuna Dominic Szoboslai, Roland Salai na kule Uswizi kuna Granit Xhaka, Shaqiri, Akanji na wengine kibao. Nani kuondoka na ushindi leo?. Beti hapa.

Jumamosi ya leo suka mkeka wako ndani ya Meridianbet upige mkwanja na mechi za EURO. Pia unaweza kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Mechi ya kukata na shoka wikendi ya leo ni hii ya Kundi B ambapo Spain atapepetana dhidi ya Croatia kwenye mechi yao ya kwanza ambapo mechi hii imepewa machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet. Mechi ya mwisho kukutana, walitoshana nguvu lakini leo hii Spain ana ODDS 1.91 kushinda mechi hii kwa 4.11.

Matarajio ya watu wengi wa soka wanatabiri kuwa Hispania atashinda mechi hii kutokana na kikosi cha vijana ambao anao kama vile Rodri, Yamal, Pedri Morata na wengine kibao ambao wanafanya vizuri kwenye ligi yao, huku kwa upande wa Croatia wao pia wana wachezaji kama vile Luca Modric lejendi kabisa huyu, Marcelo Brozovic, Kovacic na wachezaji wengine.

Wewe unaweza kupiga pesa mechi hii kwa kuingia meridianbet na kuchagua nani atakupa maokoto leo. Jisajili hapa.

Na mechi ya mwisho leo hii ya EURO itakuwa majira ya saa nne usiku ambapo bingwa mtetezi Italy ataumana dhidi ya Albania ambao hawapewi nafasi kubwa kabisa kwenye mechi ya leo na michuano hii kwaujumla. Mechi hiyo itapigwa katika dimba la Signal Iduna Park.

Italia chini ya kocha mkuu Luciano Spalletti wanataka kutetea taji lao huku leo hii wakipewa nafasi kubwa ya kuibuka wababe wa mechi kwa ODDS 1.34 kwa 9.21. Azzurri ina wachezaji wengi wazoefu kama vile Federico Chiesa, David Frattesi, Jorginho, Scamacca na wengine wengi ambao wanafanya vizuri na vilabu vyao. Huku Albania wao wachezaji wao ni kama vile Armando Broja, Ajeti, Asllan na wengine. Je wanaweza kumzuia bingwa mtetezi leo? Suka mkeka hapa.

Related Posts