Bashe apasua mtumbwi CCM

 

HUSSEIN Mohammed Bashe, waziri wa Kilimo, amekiweka pabaya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kufuatia kuibuka kwa madai kuwa ameshiriki katika ukiukwaji wa sheria, rushwa na kuikosesha serikali mapato katika utoaji wake wa vibali vya kuingiza sukari nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea).

Bashe anatuhumiwa kutoa vibali vya tani 410,000 za sukari kinyume na mahitaji yaliyopo; kuyapa makampuni yasiyo na sifa ya kuingiza bidhaa hiyo na kuikosesha serikali mapato ya zaidi ya Sh. 580 bilioni.

MwanaHALISI Online limeona baadhi ya vivuli vya vibali vilivyotolewa kwa kampuni zisizo na sifa wala hadhi ya kufanya kazi iliyopewa, huku uendeshaji na umiliki wake ukisheheni utata.

Kwa habari zaidi, soma gazeti la MwanaHALISI la kesho Alhamisi, tarehe 20 Juni, 2024.

Related Posts