Komredi Kawaida ,ametekeleza ahadi yake aliyo ahidi kwa wanachama wa CCM jimbo la Paje

Mwenyekiti wa jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa komredi Mohammed Ali Kawaida , Aametekeleza ahadi yake aliyo itoa kwa wana Chama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), katika jimbo la paje. Ambapo ame kabidhi TV (Hisense inch 43), na ving’amuzi (Azam Tv) pamoja na Rimu za karatasi za photocopy katika Matawi 13 ya jimbo hilo , pamoja na Mchele wa Mbea (kilo 100). Kwa shule ya Sekondari ya Mtule.

 

Related Posts