NAIBU WAZIRI KIKWETE AIPONGEZA TPDC KATIKA MAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea banda la Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) leo Juni 21,2024  katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwenye Viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete,akimsikiliza  Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano kutoka Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) Bi. Marie Msellemu, wakati alipotembelea banda la TPDC  katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwenye Viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kutembelea  banda la Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC)   katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwenye Viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma.

Related Posts