Kaimu Mkuu wa Chuo cha Mabaharia Dar es Salaam (DMI), Dk Wilfred Kileo akizungumza katika warisha kuwajengea uwezo Mabaharia na Manahodha ikiwa ni Maadhimisho Siku Mabaharia Duniani.
Afisa Mkaguzi na Msajili wa Meli wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) Captain Gadaf Chambo akizungumza naWaandishi habari kuhusiana Manahodha na Wavuvi juu ya matakwa ya kisheria usajili wa vyombo pamoja vifaa vya uokozi W katika kuelekea maadhimisho ya Siku ya Mabaharia Duniani Juni 25.