By ngilishonews.com MTAALAMU Maarufu wa Tiba asili nchini , kupitia taasisi yake ya Kazoba International Herbal Products amewashauri watoa huduma za tiba asili hapa nchini,
Author: Admin

Mbeya. Mkazi wa Kijiji cha Busale, Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya, Emmanuel Uswege (30) amehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kwa kosa la kufanya shambulio

Dar es Salaam. Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Jude Thaddeus Ruwa’ichi amesema waumini wanapaswa kufundishwa katekesi ili kuwa na uelewa

****** Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuzindua Daraja la Kigongo Busisi jijini Mwanza mwezi Mei mwaka huu, tayari kwa

Mbeya. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na Mamlaka ya Usimamizi Wanyamapori Tanzania (Tawa) linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kukutwa na vipande

NAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Stanslaus Haroon Nyongo (Mb) amesema kuwa Serikali imeendelea kuchukua hatua madhubuti za kuboresha mazingira ya

📌 Dkt. Biteko asema Serikali inatambua jitihada za Asasi za Kiraia kutoa huduma za kisheria kwa Wananchi 📌 Rais Samia apongezwa kwa mageuzi katika huduma

Na Said Mwishehe, Michuzi TV-Tabora MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amewaambia Watanzania wakatae kuyumbishwa na vyama vya siasa ambavyo

Dar es Salaam. Kutokana na kujaa maji katika karavati ambalo wananchi wanalitumia kama kivuko kupita kwenye reli ya umeme (SGR) maeneo ya Gongolamboto jijini Dar

Na. Peter Haule, WF, Dodoma Serikali imewahakikishia Watanzania kuwa hakutakuwa na sekta itakayokosa fedha kwa sababu ya mabadiliko ya sera ya baadhi ya mataifa zinazolenga