Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga SC kwa sasa wanaishi kwa kupiga hesabu za vidole kabla ya kutetea ubingwa ambao utakuwa wa 30 tangu
Author: Admin
Von der Leyen ametoa ahadi ya msaada huo alipokutana na waziri mkuu wa muda wa nchi hiyo Najib Mikati mjini Beirut. Ursula von der Leyen ametangaza msaada
ZAIDI ya wakazi 3000 waishio kwenye vijiji vya karibu na hifadhi ya Taifa ya Serengeti wanatarajiwa kupatiwa elimu ya namna ya kukabiliana na changamoto za
Wanamuziki wawili maarufu nchini Nigeria, Wizkid na Davido, wamewasha moto mitandao ya kijamii kwa kurushiana maneno, na kuwavutia mashabiki nchini na kote nchini. Ushindani kati
Jamaa wa mateka wa Israel wanaoshikiliwa na kundi la Hamas waliingia mitaani siku ya Alkhamis (Mei 2) kuishinikiza serikali ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kufikia
Kila Mei Mosi kwa mwaka inaadhimishwa siku ya kimataifa ya wafanyakazi duniani. Chini ya mwamvuli wa Umoja wa Mataifa (UN), Tanzania na nchi duniani iliyoazimisha
Nyota wa vichekesho kutoka Nchini Kenya Eric Omond amewasili Nchini kubwa zaidi ni kwa ajili uzinduzi wa Show kubwa itakayo onekana kupitia Zamaradi Tv mbali
Kigoma. Licha ya Bandyeekela Janwary, raia wa Burundi kushikilia msimamo kuwa ndugu yake Kwizera Kamazi alikufa kifo cha kawaida kutokana na ugonjwa, Mahakama imethibitisha kuwa
Simba imeanza maisha mapya baada ya kocha Abdelhak Benchikha kuondoka kwa ilichoelezwa kuwa ni matatizo ya kifamilia na timu kukabidhiwa kwa Juma Mgunda na Selemani
Dodoma. Wakati kukiwa na kauli tofauti za Serikali kuhusu madai ya wastaafu wa iliyokuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), kwamba hawaidai Serikali, Waziri Mkuu Kassim