Haya yanajiri huku mmoja akiripotiwa kujipeleka kwa hiari Rwanda kutoka Uingereza. Kamata kamata ya wahamiaji inajiri wiki moja baada ya wabunge kumaliza mvutano uliokuwepo bungeni
Author: Admin
Moshi. Mtoto wa darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Himo, Glory Felician (8) ameokolewa na wanaharakati kufuatia vitendo vya ukatili anavyofanyiwa na bibi yake
Na Derek MURUSURI, Dodoma SHIRIKA la Utangazaji Tanzania litaendelea kutoa fursa sawa kutangaza kampeni za vyama vyote vitakavyoshiriki uchaguzi wa mwaka huu na mwaka 2025.
HATIMAYE kiungo wa Yanga Pacome Zouzoua Leo anarudi uwanjani kwa mara ya kwanza tangu kuumia na kuzusha taharuki kubwa. Kwenye kikosi cha Yanga kitakachocheza mchezo
Rais William Ruto alipanda jukwaani na kutangaza nyongeza isiyopungua asilimia ya kima cha chini cha mshahara. Kwenye hotuba yake, rais William Ruto alibainisha kuwa nyongeza hiyo
Songwe. Zaidi ya walimu 5,000 ambao ni wanachama wa Chama cha Walimu (CWT) Mkoa wa Songwe, wameulalamikia uongozi wa chama hicho Taifa kwa kushindwa kuwanunulia
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi (wa pili kushoto) na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais
Blinken amelitaka pia kundi la Hamas kukubali pendekezo la usitishwaji mapigano lililowasilishwa hivi karibuni na Israel. Blinken amekutana kwa mazungumzo na Waziri Mkuu wa Israel
Dar es Salaam. Chadema imemaliza ngwe ya pili ya maandamano mikoani wakiibua mambo manne, likiwamo suala la Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, ugumu wa maisha,
Watumishi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu leo tarehe 1 Mei, 2024 wameshiriki maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi)