Baraza la mpito nchini Haiti limechukua mamlaka rasmi nchini humo katika hafla iliyofanyika hapo jana baada ya Waziri Mkuu wa Haiti Ariel Henry kutangaza kujiuzulu na
Author: Admin
Waswahili wanasema mtaka cha uvunguni shurti ainame, na vijana wa sasa wanasema anaweza inua kitanda, uchaguzi ni wako, uiname au uinue kitanda… hebu twende pamoja.
Na Mwandishi Wetu, Arusha KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kushirikiana na Wakala wa Usalama na Afya Mahala pa Kazi (OSHA), imetoa mafunzo
Bukoba. Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Nyamkende iliyopo Kijiji cha Nyamkende Wilaya ya Ngara, Enock Mabula, aliyefungwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa
Handeni. Mahakama ya Wilaya ya Handeni mkoani Tanga, imewahukumu kifungo cha maisha jela wakazi wawili wa Kata ya Kabuku Ndani, Rashid Selemani (42) na Ramia
Ileje. Mkuu wa Wilaya ya Ileje, mkoani Songwe, Farida Mgomi amewaagiza viongozi wa vijiji kusimamia wananchi kutotumia vyandarua kujengea bustani za mbogamboga. Mgomi ametoa agizo
Dar es Salaam. Umewahi kukutana na mfanyakazi ambaye muda wote mezani kwake kuna kikombe cha kahawa? Kadhalika, umewahi kujiuliza kwa nini katika ofisi nyingi unaweza
YANGA wameanza mapema kukifanyia maboresho kikosi chao kuelekea msimu ujao, baada ya kupiga hodi kuulizia huduma ya kiungo mkabaji, Yusuph Kagoma kama mbadala mpya wa
Musoma. Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa Nchini (Takukuru) mkoani Mara, imezuia utekelezaji wa adhabu ya faini ya Sh200,000 kwa kila mwanafunzi anayabainika kuwa na
Pretoria, Afrika Kusini. Mechi za pili za Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya nusu fainali zinapigwa leo kwenye viwanja viwili tofauti, hadi saa sita usiku